Futuristic 73
Member
- Aug 21, 2016
- 30
- 40
t
Asante kwa ushauridude you are being played, kama anakupenda angekuwa asha ondoka kwa huyo mwingine.
wewe mbona ulikuwa unampenda uka mmwaga mwenzio!?, she is using you man!! yaan huoni aibu she is sucking his d**k in the morning na mchana anakuja kuja kwako na una mkiss huku unachekela tuu!!!.
grow up!!, kama hawezi kumwacha mpige chini tafuta mwingine hana maana uyo.
na ukome maana ukute ulo muacha alikuwa ana kupenda fresh tu now umeenda kuwa mchepuko vumbi. hihihihiiiiii!
Sio kirahisi kakaJiandae kuliwa
AiseeAseeh
AiseehAisee
Aiseeh yani umeshindwa kumshauri bro yupo njia panda?Aiseeh
Mtazamo wangu juu ya hili acha utoto na kujifanya mjuaji..kumbuka mtaka yote kwa pupa hukosa yote...Umeshika mawili moja limekuponyoka!!Kabla sijakutana naye nilikuwa na mpenzi wangu na yeye ana mpenzi wake...siku moja nilikutana na huyu binti na kwa mara ya kwanza tu tulijikuta tukiwa tumevutiwa sana na kila mmoja wetu tukapiga stories na mwishowe tukakiss na kuagana...
Tulielezana ukweli kuwa kila mmoja alikuwa na mwenza wake..na nikampatia namba yangu ya simu ambayo kesho yake alinitafuta kwa simu ya rafiki yake akinieleza kuwa ni vigumu kunipatia namba yake kwa sababu mwanaume wake humchunguza sana..basi tuliendelea mahusiano yetu mwishowe tukawa tunawasiliana kwa namba yake...
Pia alinieleza anashindwa kumuacha mwanaume wake kwa sababu anamuonea huruma na wameshaishi muda mrefu sana na walikuwa na malengo mengi...
Mimi kwa upande wangu niliachana na msichana niliyekuwa naye kwa sababu sikupenda kumdanganya zaidi na jinsi nilivyompenda huyu msichana wa sasa nilikubali kuwa spea tairi,sasa imefikia hatua mwanaume wake amegundua kila kitu na anaonekana kumpenda sana msichana na hajafanya maamuzi yoyote yale....
Je una mtazamo gani juu ya hili?