UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,585
- 1,885
Habari za Maisha Waungwana!!?
Kuna umri ukifika unakua na msukumo flani as kijana kua unataka kupiga hatua hii na ile katika maisha na wakati mwingine mambo yanapo kua hayaendi sawa unavunjika moyo sana.
Niseme jambo muhimu, kijana yeyote anaejitambua mission iliyo kuu ni moja tu! kuja kua na family productive yenye success lakini mzizi wa yote haya uanzia pale tunapochagua who !s best person to marry?, hakika ukikosea umejichimbia shimo, iwe ME au KE.
Aisee sio wote wanafikia maamuzi haya sababu vipo vingi vinakera na kufurahisha ndani yake
Mfano wengi ukosea kuoa wengine uolea tamaa au mali wengine bora wawe na familia wengine kwa shinikizo la wazazi.
Ila kuna wale waungwana ambao hupatia katika perfect timing, perfect couple na perfect decision mbona mambo ua matamu mnoo sababu watu hutamani sana siku ifike watu wachukue jiko waanze maisha mapya.
Binafsi hii ni hatua muhimu sana maana ubachelor mtamu sana lakini ndoa ni tamu zaidi hasa ukimpata muolewaji na muoajii kweli, nasikia wanasema mengi kuhusu ndoa ila ninaamini kitu chochote uwa kulingana na unavyokichukulia.
Tarehe 22 April nachukua jiko rasmi nauaga ubachelor na naingia kwenye Ubaba na Umme, niwasii ndugu zangu wote hasa upcoming ones kua kila kitu ni maamuzi but maamuzi yawe sahihi sana.
Kwaherini mabachelor wenzangu... Msisahau kua hicho ni kipindi cha mpito hakidumu., lets go for Respect n honor.