Sisi binadamu kweli vituko

Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
286
415
Ukiwaona watu wanavyopendeza na kuvutia utasema kweli mungu kaumba.
Lakini kumbe hakuna lolote!!!!
Kinachowapendezesha hawa viumbe ni mavazi!

Ukitaka kujua binadamu ni kituko akae uchi.....
 
Back
Top Bottom