buthabutha
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 659
- 396
Wakuu habari,
Siku hizi kuna shida kubwa ambayo kwa utafiti inaonyesha ni sababu kubwa kuyumbisha ndoa za wengi wale wako katika ndoa na hii ni kwa sababu mwanaume kuamua kuoa mke mwenye ajira.
Je, kwanini wanaume tunapenda sana hilo wakati tunaona madhara yake kila sku? Nini chanzo? Je, Maisha magumu? Uoga wa maisha?
Karibuni