Inasikitisha: Kumbe kuna wanaume wako hivi..

anonymous-Tz

Senior Member
Apr 15, 2017
143
77
Sikumoja niliamua kwenda wanakojiuza wadada ikiwa ni moja kati ya njia zangu za kuepuka punyeto. Mambo yalikua ivi, nilifika lile eneo nikachagua mrembo alie jaa makalio na matiti makubwa kama nilivyokua nimeharibikiwa na pono' kisha tukapandisha kuelekea ghorofani huko ndipo vilivyo vyumba. Tukafika chumbani nika shangaa vitanda vitatu ndani ya chumba kimoja?

Ila sikujali sana maana ilikua sio juu yangu. Kama kawaida akanivalisha kondom na akalala kifo cha mende, kama kawaida mnyama akaingia pangoni. Wakati huo kuna jamaa na yeye anaingia na malaya sasa cha ajabu jamaa kapampu kama mara saba hivi nikashangaa kavaa duu mimi naendelea uku yule dada akidai kaka naomba umalize (kwa ukali ananiambia)

Lakini kama unavyojua mpiga puchu alie acha hua hakojoi kizembe. Sasa cha ajabu ujue wanaume tumeisha na tusipo pata ushauri tutasaidiwa na nchi nyingine. Sasa kila aliekuja ana niacha na yeye hachukui hata dakika mbili kashakojoa, niliumia kuona hali ile nikajiuliza sasa ikiwa malaya anapiga makelele umalize na bado umevaa kondom hata dakika mbili tano huchukui kweli? Ila kiukweli nilishindwa kuelewa na nikasema ebu nanyie mchangie kidogo maana vijana tunaisha.

Ushauri wangu;
Acheni kuangalia pono na punyeto pia fanya walau mazoezi epuka too much desire au kusikilizia utamu wakati unafanya mapenzi pia jifunze kuhamisha mawazo na ukiisi unataka kukojoa bana PC na endapo unatarajia kufanya mapenzi usiwaze mawazo haya "sijui nitawai kukojoa, sijui nitamfikisha," wewe take a deep breath en comand ur ejaculation kwa sasa mimi nakojoa ninapotaka na kama una swali uliza.
 
Hivi unapomnunuwa mwanamke... Dhamira yako UJIRIDHISHE? Au umridhishe?malaya hata ukimridhisha yeye yupo kazini...pale unapaswa UMALIZE UONDOKE..unampotezea muda wake..bure...kukaa kwako dk 30 angeshapata WATEJA 5 wa dk 6 kila mmoja...wakumridhisha ni mkeo nyumbani sio malaya anayejiuza..
 
Duh kazi ipo, kumbe ndivyo inavyokuwa. Namshukuru Mola bado ninaishi na kujua mengine yanayojiri duniani.

Ila nimechekeka ni kama ulilipa bei che ya haraka haraka ile naonaga matangazo nje ya maeneo yanasema kwiki kwiki sijui nini ipo, huku ukifiri utakaa siku nzima...ha ha haaaaa
 
Hivi unapomnunuwa mwanamke... Dhamira yako UJIRIDHISHE? Au umridhishe?malaya hata ukimridhisha yeye yupo kazini...pale unapaswa UMALIZE UONDOKE..unampotezea muda wake..bure...kukaa kwako dk 30 angeshapata WATEJA 5 wa dk 6 kila mmoja...wakumridhisha ni mkeo nyumbani sio malaya anayejiuza..
Dah hiyo avatar yako inanikumbusha mbali...lile picha la predator na huyo Bill Duke si mchezo
 
Dah hiyo avatar yako inanikumbusha mbali...lile picha la predator na huyo Bill Duke si mchezo
Yaa..watu wa picha za zamani sie...humo kulikuwa na black mwingine anaitwa CARL WETHER..yule jamaa aliyekatwa Mkono na predetor huku anataka abadilishe MASHINE GUN mkono mwingine... Pch balaa mkuu..now hakuna DIRECTORS wala actors mkuu...
 
Back
Top Bottom