Nimchague nani?

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,301
8,693
Habari za usiku wanajamii
Mimi ni kijana wa kiume Rijali Kabisa sasa imetokea nimependwa na Madem wawili na wote ni wazuri na wote nawapenda sasa mmoja ni mtoto wa kishua na mwingine ni wa fmilia ya wasakatonge wa kawaida tu.
Sasa ndugu zangu nishaurini nichukue yupi na niache yupi!
Naombeni nishaurini hasa kutokana na impact za kuwa ma mtoto wa maskini au mtoto wa tajiri!
Kwenye suala la dini wote ni wakristo! Naona hilo halitasumbua sana
Umri tumepishana miaka mi 4 yaan wote wawili
 
Watoto ikifika sa mbili muwe mmelala, huu Uzi gani, sis tunawajua hiyo michepuko yako,
 
Back
Top Bottom