ANKOJEI JF-Expert Member Nov 11, 2010 996 743 Apr 18, 2017 #1 - when she cant complain, seeing u with another woman. grow up man - you are not the only handsome man on earth.
- when she cant complain, seeing u with another woman. grow up man - you are not the only handsome man on earth.
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Apr 18, 2017 #2 Kinachonishangazaga SI unit ya wanawake kumpima the so called a real man ni tofauti na ya kwetu. Hivyo hamna namna tuendelee kuvutana tu.
Kinachonishangazaga SI unit ya wanawake kumpima the so called a real man ni tofauti na ya kwetu. Hivyo hamna namna tuendelee kuvutana tu.
ANKOJEI JF-Expert Member Nov 11, 2010 996 743 Apr 18, 2017 Thread starter #3 hahahah you man, mwanaume ni free ni kama USA - yaani uone makosa ya wengine lakini yako, hayakosolewi ndio mana ya kichwa
hahahah you man, mwanaume ni free ni kama USA - yaani uone makosa ya wengine lakini yako, hayakosolewi ndio mana ya kichwa
mbalizi1 JF-Expert Member Dec 16, 2015 20,674 41,075 Apr 18, 2017 #4 Hauna tofauti na yule wa kuleeee, pamoja na kuolewa kwake bado anapigwa dushe tu nje ya ndoa yake
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Apr 18, 2017 #5 ANKOJEI said: hahahah you man, mwanaume ni free ni kama USA - yaani uone makosa ya wengine lakini yako, hayakosolewi ndio mana ya kichwa Click to expand... Sijakataa mpendwa nachojaribu kukueleza ni kwamba kuna mnavyotuchukulia nyie na kuna jinsi tunavyojichukulia sisi. Mfano kwenu mwanaume kamili ni yule 1. Anakutimizia matumizi 2. Asiyekucheat 3. Anayekujali n.k Ila sisi walaaa.
ANKOJEI said: hahahah you man, mwanaume ni free ni kama USA - yaani uone makosa ya wengine lakini yako, hayakosolewi ndio mana ya kichwa Click to expand... Sijakataa mpendwa nachojaribu kukueleza ni kwamba kuna mnavyotuchukulia nyie na kuna jinsi tunavyojichukulia sisi. Mfano kwenu mwanaume kamili ni yule 1. Anakutimizia matumizi 2. Asiyekucheat 3. Anayekujali n.k Ila sisi walaaa.
kkenzki JF-Expert Member Oct 27, 2012 1,493 2,473 Apr 18, 2017 #7 Wanawake wapo wengi zaidi ya wanaume (grabs popcorn)