Anaumri Wa 23 Years yupo ktk mahusiano kinachomsumbua n kwamba uume wa mpenz wake hauingii japo tayar utando Wa juu yan bikra alifanikiwa kuitoa cku za karibun. Na uume sio mkubwa pia anapata...
Wazee husikeni na Mada tajwa,
Kuna mdada mmoja ambaye yuko kwenye mahusiano na Mshikaji, ingawa uhusiano wao una matatizo, jamaa anamzingua sana huyo msichana. Afu Huyo msichana anampenda jamaa...
MWANAUME MWENYE MALENGO NA WEWE UTAMTAMBUA KWA HAYA
Nimekuwekea hapa zisome Tabia za mwanaume mwenye malengo na wewe.
1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya...
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nimeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo, kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana, nipo mkoa wa Mwanza, ningefurahi kama ningepata mwanaume wa Mwanza...
Wasalaam wanajf!
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kutafuta marafiki,wachumba na wenza mitandaoni kila kukicha. Hivyo ni vyema tukakumbushana mambo mbalimbali yanayojitokeza kabla,wakati na baada ya...
Happy muungano day!!!
Nchini mwetu wanawake wote ni wazuri lakini wapo wanawake wazuri zaidi kwa sura kuliko wengine!
Hata viongozi wetu wakuu wameoa wanawake wazuri wazuri, mfano JPM ana mke...
Wanaume bhana ukiwa mjuaji wa mamboz utaitwa kahaba changudoa ukiwa hujui utaitwa gogo sijui golikipa, ukiwa unamjulia hali mara kwa mara utaitwa msumbufu, ukiwa unamchek mara chache utaambiwa...
Salaamu kwenu waungwana,
Mwaka 2005 /06 nilikuwa naishi Buguruni maisha ya kisela na kwa kiwango fulani, kwa kweli yale maisha yalikuwa magumu kidogo japo nilijipa matumaini kwamba lazima maisha...
Habari,
Nina jirani yangu ni mwanachuo fulani hapa Dar, anaishi na mpenzi wake. Hii likizo amenitesa sana pua na tumbo kwa harufu nzuri za mapishi zinazotokea chumbani kwake asubuhi, mchana na...
Vipi wewe kwa upande wako? Binafsi wanawake wembamba vimbaumbau siwapendi kabisa itokee tu ila wenye nyama ahh swadakta kabisa.
Karibu kwenye mjadala wewe wanaokukosha ni wa aina gani?
Kuna uzi unatambaa sana watu wanatoa confession zao, wengine wakijutia na wengine wakijisifu kuwa ilikuaje wakatembea na wake za watu...
Kwa sababu confession ni za vijana walio tembea na wake...
Wakuu habari za muda huu,
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,
Ni hivi hapa chuoni ninaposoma kuna msichana fulani ni mwaka wa kwanza mimi niko mbele yake kidogo nilijenga nae urafiki...
Habari zenu wanajf
Kama kichwa juu hapo kinavyoeleza ni kwamba nina jamaa yangu hapa mtaani jana amekuja home akiwa na majonzi alinisimulia mambo yalivyo home kwao yeye binafsi mama yake alifarki...
Leo naomba kuwauliza dada zetu je ni kipi hupalekewa wengi wenu kupenda kujibinua makalio wakati wa kupiga picha? hamuoni tabia kama hizo ndio huwafanya wanaume mashababi kupenda kuwaingilia kwa...
Habarini wana jamvi? Nina mwaka na nusu sasa tangu nifunge ndoa na sasa tuna mtoto wa kiume ana miezi mitatu,sasa kabla hatujapata mtoto mke wangu alikuwa anabehave kama malaika vile kitu...
Habari waungwana hope mo salama salmin.
Baada ya salam naomba mnisaidie uzoefu juu ya suala la mapenzi.
Mimi ni kijana km vijana wengine wa kitanzania wabangaizaji, hali ya uchumi ni "hand to...
Tabia yako ndio utambulisho wako wa kwanza kwa jamii. Watu huijua tabia yako kwa kuyaangalia mavazi yako kwanza, ukiwa wa kutunyanyulia manyonyo na kuyaacha wazi kwetu unatufungua mishipa yetu ya...