Jamani kuna katabia flani hivi wanacho dada zetu binafsi huwa kananikera sana, sio kwamba nina roho mbaya hau bahili ila sometimes wanaweza kukutoa ktk ratiba na kukuachia aibu, unakuta unakwenda...
Nimejisikia kucheka. Kuna rafiki yangu ambaye actually hatukuwa karibu sana ila tukawa kimya kwa miezi mingi kadhaa. Juzi kanitafuta na kusema ana hamu ya kunisalimia.
Baada ya meseji mbili tatu...
Kuna baadhi ya familia kwenye maeneo mwanamke akiwa anaenda kuishi na mume anapewa ABCD.. za namna ya kujenga na kudumisha ndoa na familia bora, pengine yatakua yanasaidia kwa kiasi chake
Zamani...
Salaam wakuu
Nisiwe mnafiki nimefululiza kumgegeda demu wangu wiki nzima hadi Jana
Hapa nlipo dushelele linauma na hata kukojoa ni tabu yani kama vile mashine inahitaji kukandwa na Maji Moto...
Unaweza usijue mtu uliyenaye anakupenda kiasi
gani kwa sababu ya mazoea, unachukulia Mapenzi
yake,
I love you zake, Chakula anachokupikia, Kukufulia nguo,
na Zawadi anazokupa,kama
mazoea...Ukawa...
Kuna wanawake skuhizi wanajigeuza ng'ombe wanajisaidia huku wanatembea ili kusave muda. Twende mdogo mdogo mtanilewewa tu.
Jana kuna mshkaji wangu alikuwa ananiomba ushauri wa jinsi ya...
Kwa wale waliopitia haya mambo na wote mnaojua.
1. Je inawezekana kuomba mahari ipunguzwe!?
2. Usipotoa mahari inakuaje, japo ulisha ahidi utatoa.
Naomba kujuzwa tafadhali, maana nipo kwenye...
Habari,
Naomba twende kwenye mada,
Usiwe mwepesi kutoa msaada kwa mwanamke yeyote, hasa yule ambaye si ndugu wa damu. Hapa nazungumzia msaada kama wa lift, kumlipia chakula mgahawani au mahali...
Habarini waungwana,
Hivi mpenzi ambaye hata kwenye uchumba hamjafikia bado kukupa majukumu ya mke yani ukienda umfulie, umpikie, umsafishie na nyumba hivi ni sahihi kwa mwanamke kufanya hayo...
Good day!!
Natumaini ni wazima wa afya.
Naomba nieleze hili kwa undani kiasi na ningeomba mawazo yenu ya kina?
Sometimes huwa nashangaa sana hawa wakina dada zetu. wacha nikupe stori moja mchizi...
Habari za jioni wapendwa,
Huyu baba ni mzee wa 60+ lakini pesa imemtembelea, si pesa hii ya kubadilisha mboga tu, hapana ni pesa ndefu, kila mwaka birth day yake anajipa treat ya Range Rover mpya...
Habarini Wadau,
Ni vizuri sana mtu kujivunia alikotoka/ asili yake ama Alipozaliwa.
Ndio maana kuna semi inayosema
"Jasiri haachi asili"
Mfano, kama wasanii wa kutoka Kigoma walivyoimba wimbo...
Habari wanajamvi,
Kuna jambo linanishangaza sana, siku za hivi karibuni kumekua na wimbi la wanaume wengi kujikuta wakipenda kufanya ngono bila kinga, tena bila hata kujali anayefanya nae ni nani...
Habari zenu wanajamvi...!!!
Mimi ni mvulana rijali kabisa na nimekuja mbele yenu wanajamvi kwa ajili ya kutafuta mpenzi simple kabisa na mwenye vigezo vifuatavyo..;
1:Awe na miaka 18 na...