Mwambie asikuzoee kabisa mazoea Kuzoeanaa... Hiko ndo kizaa zaa

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Unaweza usijue mtu uliyenaye anakupenda kiasi
gani kwa sababu ya mazoea, unachukulia Mapenzi
yake,
I love you zake, Chakula anachokupikia, Kukufulia nguo,
na Zawadi anazokupa,kama
mazoea...Ukawa busy kutompa haki yake na penzi
analostahili kwa Penzi lake juu yako,
ukawa bize na Kokoto zingine na kuiacha dhahabu yako
nyumbani imejaa vumbi...Dhahabu hata ijae vumbi
vipi haiwezi kuwa na thamani sawa na Kokoto ya
Tegeta! Siku atakayoondoka utajikuta una lori zima
la kokoto lakini halina thamani, utakuwa
umepoteza Dhahabu ya thamani kwa sababu tu hukuijali ilivyopaswa na wengine waliotambua
thamani yake waliijali on your behalf!
Mapenzi hayana Mazoea,hata muwe na miaka 9
kwenye Mapenzi msiishi kama wazee,hakikisha
Mapenzi yenu yananukia upya kama mmeanza
jana,
kila anayewaona awatamani...Mazoea yataua penzi lenu,Once ukiingiza Mazoea utaona dhabau
ni kama bati wakati majirani wanaona jinsi
inavyong'aa na wanaitamani...Respect your
Lover,Value even the small things he/she does to
you,hata akileta boxer ya 800 ya Karume
mwambie asante maana atleast ulicross kwenye mind yake akanunua...Mazoea ni adui wa
Mapenzi, Kill it!
 
mara nyingi nondo kama hizi huwa na sababu sio bure hata kidogo nakwambia, lazima kuna kitu kimekutekenya mahali amini.
 
Salama ziwafikie popote walipo... dedication Quick rocka ft benpol-Penzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom