Viagra zinavyotesa wazee

Viagra zinavyotesa wazee

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Habari za jioni wapendwa,

Huyu baba ni mzee wa 60+ lakini pesa imemtembelea, si pesa hii ya kubadilisha mboga tu, hapana ni pesa ndefu, kila mwaka birth day yake anajipa treat ya Range Rover mpya ni mfano tu wa maisha anayoishi. Baba ana mke, watoto na wajukuu, lakini si unajua adabu ya pesa ameama kuwa mzee kijana.

Baba amepata kitoto cha chuo kikuu, sikujui kitoto kile kimempa mahaba gani mzee ambayo hajawaji kuyapata, mzee amechanganyikiwa kabisa kwa katoto ambacho kanaweza kuwa kitoto chake cha mwisho au kijukuu.

Kila alichotaka mtoto alipewa, sasa bwana, weekend moja mzee ameshachukua chumba hotelini akapumzike na mtoto. Mama nyumbani ameambiwa ni business meeting. Mzee amenunua Viagra aweke heshima kwenye mechi.

Goli la kwanza halijafika, mzee mapigo ya moyo yamebadilika, mzee chali kitandani. Mtoto akaona hili soo, alivyokuwa jasiri, katoto kalichukua face towel na kuanza kumfanyia mzee towel bath ili kupoteza ushahidi wa DNA zake. Mzee amekata roho kitu kikiwa katika 45 degree angle. Mtoto amevaa nguo, amechukua kile ki face towel huyooo kapotea.

Nyumbani wanamtafuta lakini mama alijua business meetings nyingi za mzee zinafanyika hotelini na akichelewa analala huko. Mhudumu wa hoteli aje afanye usafi ndiyo anakutana na maiti. Kujulikana ni nani, familia kupigiwa simu. Mama hana hamu, anaonyeshwa maiti ya mumewe kwenye shuka bado kitu kiko 45 degree angle.

Mwangalie afya zenu kwanza kabla ya kumeza haya ma Viagra.
 
Hivi hizi viagra au zile electro sijui.mtu akitumia hizo dawa huko mbeleni hawezi pata madhala ya kulala kwa uume mazima?
 
Kuna umri ukifika ni vyema kukubaliana na hali, kwa umri kama ule wapo wazee wanaoweza kuweka heshima angalau ya two rounds. Lakini kwa walio wengi umri ule ni kula vizuri kunywa na kulea wajukuu. Mara moja moja vitoto hicho ni kukichukua kikukandekande na kukunyoosha misuri.
 
Mum mtotoTE="fakalava, post: 20861484, member: 305557"]Kuna umri ukifika ni vyema kukubaliana na hali, kwa umri kama ule wapo wazee wanaoweza kuweka heshima angalau ya two rounds. Lakini kwa walio wengi umri ule ni kula vizuri kunywa na kulea wajukuu. Mara moja moja vitoto hicho ni kukichukua kikukandekande na kukunyoosha misuri.[/QUOTE]
Mkuu mtoto was make 25-27 unamchukua akunyooshe misuli na umeshamzoesha laki tano kwa call. Unashamed jab is a usiponyosha shoo kuna vijana watainyosha.
 
Nice UOTE="Miss Natafuta, post: 20861692, member: 325782"]nchi gani maana sijasikia hii breaking news hapa bongo mamiii[/QUOTE]
Mzee ni lawyer was ki-Mbabwe
 
Mmh ulijuaje kuhusu hiyo towel bath ili kufuta prints? Na simu ya huyo muzee aliichukua ili kupoteza ushahidi wa conversation zao earlier?

Camera za koridoni je?
 
Mkuu Sky Eclat achana na viagra, juzi kati gym nlianza kutumia creatine supplements (nazitumiaga) kama pre workout supplement, na casein(new sijawahi itumia) kama post workout, aisee nmetoka gym narudi home, huyu mtoto hapa bado kidogo akimbie, hii casein aisee ni kama viagra tu, mpaka inaumiza yani, erection mpaka kunakucha, aisee ikabidi niiache tu
 
Jun a TE="Hainaga ushemeji, post: 20862036, member: 382322"]Mkuu Sky Eclat achana na viagra, juzi kati gym nlianza kutumia creatine supplements (nazitumiaga) kama pre workout supplement, na casein(new sijawahi itumia) kama post workout, aisee nmetoka gym narudi home, huyu mtoto hapa bado kidogo akimbie, hii casein aisee ni kama viagra tu, mpaka inaumiza yani, erection mpaka kunakucha, aisee ikabidi niiache tu[/QUOTE]

Nilipomaliza form four wakati ninasubiri majibu mama a lini keep busy sana. Nilifundishwa typing, Nilifundishwa kushona nguo . Darasa la kushona lilikuwa kwa mama wa ki-Goa. Wengi wa wanafunzi walikuwa wake za watu. Dada mmoja alituhadithia jinsi mum wake asivyomkuna vizuri. Wakati Uley niliona story za kipuuzi.
 
Mkuu Sky Eclat achana na viagra, juzi kati gym nlianza kutumia creatine supplements (nazitumiaga) kama pre workout supplement, na casein(new sijawahi itumia) kama post workout, aisee nmetoka gym narudi home, huyu mtoto hapa bado kidogo akimbie, hii casein aisee ni kama viagra tu, mpaka inaumiza yani, erection mpaka kunakucha, aisee ikabidi niiache tu
Mkuu hizo supplements hazina madhara na zina makusudio gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom