Jack HD
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 851
- 1,166
Good day!!
Natumaini ni wazima wa afya.
Naomba nieleze hili kwa undani kiasi na ningeomba mawazo yenu ya kina?
Sometimes huwa nashangaa sana hawa wakina dada zetu. wacha nikupe stori moja mchizi wangu.
currently there is a relationship ambayo inaendelea kati ya watu wangu wawili wa karibu sana. Taabu ni kwamba this relationship ina almost 3.5 years. Wameanza since gash akiwa anasoma chuo na jamaa alikuwa ameshamaliza na ameajiriwa sehemu japo ndio ilikuwa junior position, si unajua tena ile ukiwa umetoka chuo direct huwezi pata senior positions.
Bhasi since walipoanza mahusiano yao, huyu demu alikuwa akibana sana kutoa mchezo. Ni mara kadhaa wameshaingia lodge jamaa kaomba na kuomboleza lakini mtoto anabana mzigo. Ilifikia jamaa anatumia nguvu lakini gash anabana zoote. Huwezi amini mtoto anabana mwanzo mwenga.
Lakini sasa, imethibitika kwa kauli na baada ya jamaa kupekenyua kwenye K kuwa kweli mtoto ni bikra. Trust or not ndio hvyoo mtoto ni bikra. Sasa cha ajabu wakati huyu binti anasoma chuo alikuwa akitoa promise kuwa mara nikija likizo nitakupa, mara nikimaliza chuo nitakupa. jamaa amepigwa danadana kichizi mpaka demu kamaliza chuo.Na demu kamaliza chuo na bikra yake alhamdulillah.
Dem kakaa mtaani almost a year anatafuta michongo huku akisisitiza jamaa kama anataka mchezo akatoe posa. Mchizi wangu akitafakari kwao ndio first born, na bado anajipanga panga ili akisema aingie kwenye ndoa basi asiyumbe yumbe. Uzuri ni kuwa binti anatambulika kwao na jamaa na amekuwa akienda mara kwa mara. Hii hali ya huyu mtoto akibana mzigo imeendelea mpaka sasa, na jamaa tokea kitambo alivyoona kwamba binti mambo yake ndio hayo alikuwa akijilia pembeni kama kawaida tena anapga mademu wakaaali kuliko huyu. Lakini huwa anakiri kuwa huyo ndio mkewe na bado hajaona pa kuoa zaidi ya hapo.
kibaya zaidi siku hzi demu naye sijui nyege zinampandaga utasikia weekend hii ukija tu nakupa, wikiendi inafika demu anazua kisingizio, mara ntakuja siku flani tutalala then ntakupa, ikifika hyo siku ni visingizio.
Trust me, they both love each other saaaaaana mpaka wivu!!
Sasa jamani hii defense mechanism ya namna hii ni haki kweli? Dada zangu mpo radhi kubana kiasi hiki then jamaa akapewe nje hali ya kuwa unampenda? Aaaaahh this is too much!!