Hivi ni Members wa mkoa gani hasa hapa JF wana uzalendo zaidi na kwao?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,685
40,063
Habarini Wadau,

Ni vizuri sana mtu kujivunia alikotoka/ asili yake ama Alipozaliwa.

Ndio maana kuna semi inayosema

"Jasiri haachi asili"

Mfano, kama wasanii wa kutoka Kigoma walivyoimba wimbo wa kusifia mandhari, juhudi, tamaduni na vyakula vya kwao.

Hapa JF ni watu gani wana uzalendo na wanajivunia zaidi walikotoka/ walikozaliwa naam na wanapoishi?

Na ni kwasababu zipi hasa wanajipa credits hizo?


Wabillah Tawfiq.
 
Kwani uzalendo unaouzungumzia hapa ni upi, na uzalendo kwa mantiki ya kikabila au kitaifa au kitaa, au kimkoa?
 
Back
Top Bottom