STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,246
Kuna wanawake skuhizi wanajigeuza ng'ombe wanajisaidia huku wanatembea ili kusave muda. Twende mdogo mdogo mtanilewewa tu.
Jana kuna mshkaji wangu alikuwa ananiomba ushauri wa jinsi ya kumsimamisha mwanamke anayepishana anae njiani, manake anahisi kuna sehemu huwa anakosea labda kwasababu anasema kila msichana anayemsimamisha ili amtongoze au kuongea nae kuhusu ishu nyingine basi yule mwanamke ndio anakuwa kama amezidishiwa speed za miguu.
Na suala hili linatutokea wanaume wengi sana sema tunakuwa tunayamezea moyoni tu, inafikia kipindi sasa inakuwa huwezi kuongea na mwanamke mpaka ubadilishe uelekeo ili umfuate anakokwenda hata kama ulikuwa unakwenda basi itakulazimu urudi ulikotoka kana kwamba Mwanamke hawezi kusimama na kukusikiliza unachotaka kumwambia. Wengi visingizio wanavyovitoa eti hawawezi kusimama kwasababu wapo busy(jinga kabisa)
Sasa washkaji zangu eeeh mimi nataka nitiririke maujanja ya kumsimamisha mwanamke unayekutana nae njiani kwa ulaniiini kabisaa. Ni vile hamjui tu kwamba kumfanya mwanamke asimame na akusikilize ni rahisi zaidi ya kuwateka wasananii.
Ila kabla ya kumwaga maujanja ningependa kuona ni wangapi wanakumbana na hiyo kadhia? Nisijekujikuta namfundisha mwalimu jinsi ya kufundisha.