Jinsi ya kuwa mama bora

Daima usitumie muda wako kuwaza jinsi ya kumridhisha binadamu, kama hauoni umuhimu wako leo basi huna haja ya kujihangaisha, nakushauri tumia hiki kitu kinachoitwa POWER OF LETTING GO.
 
Napendaga kua first yo reply lakin hii sijaiwahi,,,

We dada kwa yy ni mume bora?kama yy ni bora imetosha
 
Mmh! Nionavyo hakuna njia zaidi ya tabia zako / matendo yako binafsi kama ni mazuri ndio yatakayokufanya kuwa mama bora ikiwa ni mabovu usitegemee kuwa mama bora.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom