Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,944
Habari,
Naomba twende kwenye mada,
Usiwe mwepesi kutoa msaada kwa mwanamke yeyote, hasa yule ambaye si ndugu wa damu. Hapa nazungumzia msaada kama wa lift, kumlipia chakula mgahawani au mahali popote, kumlipia kodi ya nyumba, kumlipia nauli n.k.
Mara nyingi mwanamke hupenda kuwa na mtu mwenye huruma na kumjali, hivyo kwa kumpa msaada wowote ule hupelekea kumbadili mind yake ikuwaze wewe kama mtu utakayemfaa, ndipo atatafuta nafasi ya kuwa karibu nawewe zaidi.
Ukaribu utakaozaliwa kati yenu usipokuwa makini utapelekea kuharibu ndoa yako, mahusiano yako sahihi na mtu mwingine au kupoteza dira ya maisha. Vijana wengi wamepoteza dira za maisha yao baada ya kuingia katika mahusiano kimapenzi na mabinti ambao si fungu lao au kwa kuingia katika mapenzi katika muda ambao si sahihi.
Love u all.