Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Nimejisikia kucheka. Kuna rafiki yangu ambaye actually hatukuwa karibu sana ila tukawa kimya kwa miezi mingi kadhaa. Juzi kanitafuta na kusema ana hamu ya kunisalimia.
Baada ya meseji mbili tatu akanishtua sana. KUWA ANA BIRTHDAY YAKE SIKU ZIJAZO NIMEMWANDALIA ZAWADI GANI? That was a very stupid question. Yaani muda wote huo leo kanikumbuka sababu anataka zawadi ya birthday?
Wanawake mnapenda sana zawadi, mnapenda sana kupewa. Kwanini?