Pyepyepye JF-Expert Member Jan 6, 2017 1,940 3,829 Apr 27, 2017 #1 Wana body naomba kuondolewa kwenye mtanziko huu, asee
Shunie JF-Expert Member Aug 14, 2016 154,426 458,800 Apr 27, 2017 #3 vyote kwa pamoja huwezi kumpenda mtu bila kumtamani
xav bero JF-Expert Member Nov 24, 2016 5,134 7,324 Apr 27, 2017 #4 Mwanaume hawe, kupenda kabla ya kutamani ila mwanamke atamfanya mwanaume ampende zaid, Mwanamke anauwezo wa kupenda kuliko mwanaume na akiamua kupenda hua anapenda kweliiiiiiii,mapenz yana run dunia ,oooh mapenz yana run dunia oooileeee
Mwanaume hawe, kupenda kabla ya kutamani ila mwanamke atamfanya mwanaume ampende zaid, Mwanamke anauwezo wa kupenda kuliko mwanaume na akiamua kupenda hua anapenda kweliiiiiiii,mapenz yana run dunia ,oooh mapenz yana run dunia oooileeee