Villky_J
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 492
- 609
Jamani kuna katabia flani hivi wanacho dada zetu binafsi huwa kananikera sana, sio kwamba nina roho mbaya hau bahili ila sometimes wanaweza kukutoa ktk ratiba na kukuachia aibu, unakuta unakwenda sehemu mfano dukani uko na fixed money halafu kanatokea kasichana from no whr mbele za watu, eti kisa kanakujua kanaanza kuagiza vocha tena bila aibu kanamwambia mwenyeduka ataripa hy hapa yn ww, na vile wanaume hatupendi kuaibika tunajikura tunatoa hela unamnunulia; kibaya sasa ikukute ulikuja na fixed money unajikuta unaambulia aibu na madeni yasiyokuwa na mpango...naamin wanakumbwa sana na haya majanga hebu funguken wajyw ili waache