Wanawake kwanini mnasahau kupaka makalio mafuta?

Machuchu

JF-Expert Member
Mar 31, 2017
1,260
962
Hi wakuu.

Kichwa cha habari kama kinavyojieleza.

Kwanini kwa asilimia kubwa wanawake wanasahau kupaka makalio mafuta (Lotion) zao wanazotumi. Mala nyingi nakutana na wanawake wa dizaini hii hadi juzi nilijisikia ukakasi kumgegeda mwanamke alikua amepauka makalio kiasi kwamba hadi vingozingozi vinatoka. Kwa kweli nilishangaa mno nikajitahidi ile kumgusa nikahisi vingozingozi vile vya mpauko vinatoka makalio yamepauka kama amekalia beseni la [HASHTAG]#NGANO[/HASHTAG] ule unaopikiwa keki.

Nikasema khaaa ikanibidi tu ;);)o_O:rolleyes: niuchune na kuzuga sikumuuliza. Nakuja mbele kwa bibi khaaa nakutana na vitu vyeupe vimemgandia kwenye kipochi manyoya kumuuliza anasema yeye huwa hanawi na maji haja ndogo anatumia [HASHTAG]#TISSUE[/HASHTAG].
Mara simu yangu ikaita nilivyoongea nikamwambia baby nimepata msiba tena mzito tuondoke na ilikua sio kweli kwangu nilisalim amri mwenyewe kuhairisha pambano kwa muonekano ule kwa kweli.
Mimi sio member wa Tigo ila kuna style zingine lazima utayaona makalio pia kama mpz wako kumshika au kumpapasa ni kitu cha kawaida

Msinitukane ilahali niliyokutana nayo ni hali halisi na siongopi.
 
Huko kwenye matako ulikuwa unatafuta nini, wewe eneo lako la kazi ni kwenye shimo la mbele, wewe unaonekana ulitaka kuruka ukuta, we mzee hatari sana, ni mharibifu wewe
Wewe soma posti na uelewe
 
Hi wakuu.

Kichwa cha habari kama kinavyojieleza.

Kwanini kwa asilimia kubwa wanawake wanashahau kupaka makalio mafuta (Lotion) zao wanazotumi. Mala nyingi nakutana na wanawake wa dizaini hii hadi juzi nilijisikia ukakasi kumgegeda mwanamke alikua amepauka matako kiasi kwamba hadi vingozingozi vinatoka. Kwa kweli nilishangaa mno nikajitahidi ile kumgusa nikahisi vingozingozi vile vya mpauko vinatoka matako yamepauka kama amekalia beseni la [HASHTAG]#NGANO[/HASHTAG] ule unaopikiwa keki.

Nikasema khaaa ikanibidi tu ;);)o_O:rolleyes: niuchune na kuzuga sikumuuliza. Nakuja mbele kwa bibi khaaa nakutana na vitu vyeupe vimemgandia kwenye kipochi manyoya kumuuliza anasema yeye huwa hanawi na maji haja ndogo anatumia [HASHTAG]#TISSUE[/HASHTAG].
Mala simu yangu ikaita nilivyoongea nikamwambia baby nimepata msiba tena mzito tuondoke.....Na ilikua sio kweli kwangu nilisalim amri mwenyewe kuhairisha pambano kwa muonekano ule kwa kweli.

Msinitukane ila hali niliyokutana nayo ni hali halisi na siongopi,
Hao wanawake wote huwa unatafuta nini kwenye makalio, dili na dashboard achana na matako
 
Sijui nini kimenileta kusoma uzi huu, nasikia kichefuchefu

Kwa wewe kuendelea basi nawe ni unavyomuita yeye juu ya usafi...khaaaaa

Huoni hata aibu kisa papu ndio ukaendelea....

Kinyaaaa

Ngoja nisome username yako tena nisepe...khaaa na chafya nimepiga
 
Mimi ni mwanamke hapa na kusupport Kama ni kweli umekutana na vitu Kama hivi.
Jamani wanawake wenzagu tujitahidi kuwa wasafi yaani inamaanisha hakuosha papuchi yake Kabla
Du
 
mkuu acha kulazimisha mawazo yako.. wengine wanapaka poda kule ili kuwe soft.. si unajua baby care ina balaa lake pia..!!!
usikute ulikuta weupe wa poda mkuu..!!!!
 
Mimi ni mwanamke hapa na kusupport Kama ni kweli umekutana na vitu Kama hivi.
Jamani wanawake wenzagu tujitahidi kuwa wasafi yaani inamaanisha hakuosha papuchi yake Kabla
Du
soma upya uzi... usikimbilie kucommet tu!
 
Mimi ni mwanamke hapa na kusupport Kama ni kweli umekutana na vitu Kama hivi.
Jamani wanawake wenzagu tujitahidi kuwa wasafi yaani inamaanisha hakuosha papuchi yake Kabla
Du
ni sawa tuwe wasafi ila najiuliza jamaa anamsagura mwanamke nyuma mbele .. halafu yeye hajavua nguo simu ikaita akaenda kupokelea nje duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom