Hivi ndivyo Maulid Kitenge alivyosakata rhumba na wake zake

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
image.jpeg

Mzee wa Ganda la ndizi...Swahiba Maulid Baraka wa Kitenge akiwa na wake zake wakipata burudani ya mziki.
Hii ndio furaha ya uke wenza,hampigani wala kutupiana maneno..Mnacheza na bwana kwa nafasi na kujiachia bila masimango.

Figa moja haliivishi chungu
 
duh!! jamaa ana "fwaudu".

ila kwa tabia za sisi wanaume manyang'au wa town,hapo hata kakatize kakuku ka kienyeji na vikuku vyake miguuni, lazima atakatolea udenda.
 
View attachment 504170
Mzee wa Ganda la ndizi...Swahiba Maulid Baraka wa Kitenge akiwa na wake zake wakipata burudani ya mziki.
Hii ndio furaha ya uke wenza,hampigani wala kutupiana maneno..Mnacheza na bwana kwa nafasi na kujiachia bila masimango.

Figa moja haliivishi chungu

Ina maana hajui kucheza Mkuu? Mbona kamkanyaga Mguuni huyo wa nyuma yake? Halafu kumbe na huyo mwingine nae kumbe kavalia ' Kikuku ' mguu wake wa kulia? Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Maulid Baraka Kitenge kaamua ' kujilipua ' na kukubali ' kulelewa ' mubashara na hao Wanawake wawili? Ila nasikia huyo wa mbele yake mwenye ' Kikuku ' mguuni ndiyo ana ' fuba ' la maana kiasi kwamba hata huko Masaki wanapoishi Yeye ndiyo mpango mzima ' financially '.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom