He is in Love with Kasie's ......

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
22,042
39,996
Shape of You...

I know these are lyrcs, till I share them here, there is a story to tell....

Ilikuwa hivi,.... katika moja ya safari za Kasie (wiki iliyopita) nilipangiwa kazi mahali flani hivi, nilikaa hilo eneo kwa muda wa wiki moja na hoteli niliyofikia ilikuwa na huduma za gym au chumba cha kufanyia mazoezi. Baada ya kumaliza shughuli za kutwa nzima, kila jioni nilikuwa naingia gym kisha naoga na kwenda zangu mziki aka club maana napenda sana kucheza. Kumbe kwenye ile hoteli kuna mkaka/mbaba alikuwa ananifatilia bila mie kujua, akachunguza akajua chumba ninachokaa na yeye alikuwa anakaa hoteli hiyohiyo niliyopo mimi. Basi jioni nikiwa naenda gym anaingia nayeye anafanya mazoezi ila macho yote au umakini upo kuniangalia Kasie mie. Nikienda disco usiku nae ananifatilia, kwa siku mtatu mfululizo akajiridhisha nilikuwa mwenyewe, siku ya nne asubuhi akanifata kwenye breakfast tutakaa meza moja. Maongezi yalikuwa kuhusu hali ya uchumi wa nchi, maendelo ya jamii na mwamko wa wananchi kuhusu masuala ya uwekezaji na ufatiliaji wa utendeji wa serikali.

Tukaachana kila mtu akaenda kwenye shughuli zake zilizompeleka, mie nikajua vimeishia pale. Jioni niko gym huyo akaja tukawa wote kila mmoja kwenye mashine za kukimbia baadae wote tukafanya sit ups, Wakati natoka kueleke room kuoga akanifata, heey Kasie.... naomba leo twende wote disco.... mmh nikashangaa amejuaje naenda disco nikamwambia ntaangalia kama ntaenda au laah. Akaniambia naomba leo twende wote hata kama hutocheza naomba tutoke, nikamwambia sawa nipe saa moja nijiandae ntakuwa tayari. Baada ya saa kwisha tukashuka chini kula kisha tukaongea weeh ndo akaniambia kuwa alikuwa ananifatilia kwakuwa alitaka kuwa karibu na mie ....(kiufupi alivutiwa na mie, nikajisemea huyu nae atakuwa na matatizo ya macho na uzee wote huu nilionao bado anavutiwa na Kasie......) Mida ilipofika tukajongea disco kama kawaida ya Kasie sifanyi ajizi na mziki, nilianza kuyarudi magoma bila kuangalia nani ananitazama au watu watanionaje. Kumbe nae ni mfalme wa dance floor laah ilibamba sana kila nikikumbuka naishia kutabasamu .

Baada ya kucheza miziki kadhaa ukapigwa huu wimbo wa ''Shape of You...'' jamaa akanisogelea akaninong'oneza huu wimbo ni mie nakuimbia wewe Kasie.... hahahahaa nikatabasamu tukacheza ule wimbo na baada ya wimbo kuisha nikamkumbatia..... Nilifurahi maana anajua kucheza na mie tena basi ilikuwa raha bin burudani..... tulirudi hotelini usiku mwingi, akanisindikiza hadi chumbani kwangu mlangoni tutakiss halafu kikaishia hapo......

Kweelii tena ..... hamuamini....??? amini tuu ndo ukweli wenyewe huo, hatukupiga show fupi wala ndefu ila kwa siku nne tulizoeana sana na baada ya kazi kuisha kila mtu karudi kwake ikawa ndo basi. Cha muhimu huwa sichukui namba ya simu wala email ili tukishapotezana hapo ndo ntolee hiyo.....

Leo niko kiota flani hivi huku S.A. nikajikuta namkumbuka jamaa..... the way he dance and the day he sing this whole song for me.......

Haya karibuni tuimbe na tucheze pamoja.....

Poleni kwa maneno mengi, mnisamehe bure Kasie mie kuandikaga ufupisho wa habari siwezi.

The club isn't the best place to find a lover
So the bar is where I go
Me and my friends at the table doing shots
Drinking fast and then we talk slow
And you come over and start up a conversation with just me
And trust me I'll give it a chance now

Take my hand, stop, put Van the Man on the jukebox
And then we start to dance, and now I'm singing like


Girl, you know I want your love
Your love was handmade for somebody like me

Come on now, follow my lead
I may be crazy, don't mind me

Say, boy, let's not talk too much
Grab on my waist and put that body on me

Come on now, follow my lead
Come, come on now, follow my lead


I'm in love with the shape of you
We push and pull like a magnet do

Although my heart is falling too
I'm in love with your body
And last night you were in my room
And now my bed-sheets smell like you
Every day discovering something brand new
I'm in love with your body

Oh—I—oh—I—oh—I—oh—I
I'm in love with your body
Oh—I—oh—I—oh—I—oh—I
I'm in love with your body
Oh—I—oh—I—oh—I—oh—I
I'm in love with your body
Every day discovering something brand new
I'm in love with the shape of you


One week in we let the story begin
We're going out on our first date

You and me are thrifty, so go all you can eat
Fill up your bag and I fill up a plate
We talk for hours and hours about the sweet and the sour

And how your family is doing okay
Leave and get in a taxi, then kiss in the backseat
Tell the driver make the radio play, and I'm singing like


Girl, you know I want your love
Your love was handmade for somebody like me

Come on now, follow my lead
I may be crazy, don't mind me

Say, boy, let's not talk too much
Grab on my waist and put that body on me

Come on now, follow my lead
Come, come on now, follow my lead


I'm in love with the shape of you
We push and pull like a magnet do

Although my heart is falling too
I'm in love with your body
And last night you were in my room
And now my bed-sheets smell like you
Every day discovering something brand new
I'm in love with your body

Oh—I—oh—I—oh—I—oh—I
I'm in love with your body
Oh—I—oh—I—oh—I—oh—I
I'm in love with your body
Oh—I—oh—I—oh—I—oh—I
I'm in love with your body
Every day discovering something brand new
I'm in love with the shape of you


Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on

I'm in love with the shape of you
We push and pull like a magnet do

Although my heart is falling too
I'm in love with your body
Last night you were in my room
And now my bed-sheets smell like you
Every day discovering something brand new
I'm in love with your body

Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
I'm in love with your body
Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
I'm in love with your body
Come on, be my baby, come on
Come on, be my baby, come on
I'm in love with your body
Every day discovering something brand new
I'm in love with the shape of you


huu wimbo unanoga hasa pale anapoguna mmmhhhh alafu anaendelea am in love with....

Kasie Love.
 
Kasie mapenzi uyo

Wewe ni mapenzi tu kila siku habari za kujenga nchi weee haaaah unamwachia magu na mwanahabar huru

Alafu unaniacha hoi kila siku lazima utuachie ki truck kimoja duuuh
 
Aunty karibu maziwa fresh ya motoooo!
Ahsantee aunt yangu......huu Uzi baada ya kuuona ulinipa ukakasi maana ndugu yetu anapotea lkn hashauriki...ikabidi niukimbie

Sasa hayo maziwa unibakizie mengi nadhani unanijua aunt ykoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom