GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Wakuu habarini za weekend...!? Ebwana kabla ya yote ngoja kwanza ni declare interest kuwa nilishawahi kutembea na mke wa mtu.......
Katika kutembea nae, kuna makosa ya kiufundi yalitokea mume akaju na akanijua hadi mimi akanipigia cm kunitisha tukakolomeana akakaa kimya yakaisha.......
Mke akapata misukosuko mingi ikiwa ni pamoja na kufukuzwa (ila baadae akarudi)
Na aliporudi mwanamke akanambia kuwa kwa misukosuko aliyopata ameamua tuachane, tuachane na mapenz ila tuendelee kuwasiliana kama kawaida...... Katika kuwasiliana tunakuwa tunapiga story za kimapenz....
Sasa mume wake kasafiri kiutafutaji na ana wiki kama tatu mbili hv, sasa mwanamke kazidisha mawasiliano na mimi hadi kufikia kukubaliana kuwa cku moja tutoke out tukakae ndani chumbani, nyumba za kulipia, tukafanye romance tu bila kugegedana.....
Kama mnavyojua mke wa mtu n mtam, je inawezekana tukakaa ndani tena lorge, tumelipia chumba tukae tu kucheza!? Kiukweli moyo wangu unahtaji kugegedana nae tena, na nilipomwambia akakataa akasema tubaki tu wapenz wa story hilo tendo tuliweke kando, lakini bado anataka tukakae katika mazingra hayo, na mpaka sasa tumeshapanga siku na masaa.
Je, ungekuwa wewe hapa ungefanyaje? Nataka nimgegede siku hyo ila yy anasema ni story tu na akasema hataki tuongelee nje sababu anaogopa wanaomfaham watamuona.
NIFANYEJE HAPA.......!?