Wadau hii ni sawa kumtembelea mpenzi wako bila taarifa, tunaita surprise kwa kizungu ile anafungua anakutatana na wewe......nimeshawahi kufanya hivo nilinuniwa siku mbili.
hahahahahinategemea na mtu na mtu
Wadau hii ni sawa kumtembelea mpenzi wako bila taarifa, tunaita surprise kwa kizungu ile anafungua anakutatana na wewe......nimeshawahi kufanya hivo nilinuniwa siku mbili.
Ulishawahi kufanya hivyo?ila hakuna shida kama ni mpenzi wako unamsurprise tu kwani nn utakachokutana nacho utajua mbele ya safari
ahahahhaUnachokitafuta utakipata aisee
hapana sijawahiUlishawahi kufanya hivyo?
Safi sanahapana sijawahi