Je unaweza mpigia simu mama wa mwanamke wako ambaye hujajitambulisha?

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Hebu niambie
Una mwanamke lakini hujajitambulisha kwao wala hawakujui
Je una weza mpigia simu mama yake ukaongea naye
 
unaongea tu... kama mpenzi wako kapenda unaongea nae kwan sh ngapi..!!!!
 
Mwanamume: Haloo
Mama: Haloo habar
Mwanume: Nzur mama shikamoo
Mama: Marahaba Hujambo
Mwanaume: Sijammo Mama
Mama: Eenhee nan mwenzangu?
Mwanaume:........................???????

Mwanaume: mimi ninaitwa Askari Muoga huwa nina........................!!!
Mama: sijakuelewa unasemaje?
Mwanaume: Niko karibu na mwanao ..........
Mama: kwahiyo?
Mwanaume: hihihi tehe tehe..... blaaaa blaaa
Mama: mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ha ha ha ha kwa huo msonyoo huyu mama nshajua ametokea maeneo gan
 
Kipindi fulani tulikuwa tumelogeka na penzi na mrembo fulani.

Alianza kunipa niongee na mdg wake, baadae dada yake kisha nikatua kwa maza.
Maza akawa amenikubali haswa niwe mkwe wake japo hata hatukuwa tumeanza kuwaza huko..

Nilikaribishwa nyumbani, na baadae nikawa nampitia huyo binti nyumbani kwao kisba mama anatupeleka mahali tunapotaka kwenda alafu yeye anaondoka na anatuachia cash ya kutosha tu ukizingatia mimi ni Kapuku tu.

Baadae kila mtu alikuja kushika hamsini zake.

Kwa hiyo inategemeana na familia na familia.
 
Ni wazungu?
 
Mwanaume: mimi ninaitwa Askari Muoga huwa nina........................!!!
Mama: sijakuelewa unasemaje?
Mwanaume: Niko karibu na mwanao ..........
Mama: kwahiyo?
Mwanaume: hihihi tehe tehe..... blaaaa blaaa
Mama: mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ha ha ha askari muoga
 
Unapiga kama nani??? Unaweza mpigia kama kuna dharura!!! Binti yake amepatwa na matatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom