Nahitaji kuagiza gari IST

SPSS

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
711
388
Habari wanabodi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuagiza gari, TOYOTA IST 0(zero) mileage,ningependa kufaham kwa wazoefu kuhusu reliable agency,garama za bandarini mpaka niipate

Natanguliza shukrani
 
PM NIKUPE KILA KITU
 
Back
Top Bottom