chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,383
- 24,939
Habari wakuu wanaMMU,
Nimewahi kusikia pahala pengi wengi wakinena hili jambo kwamba pesa huongeza hisia za kimapenzi au nguvu za kiume. Na wakati uanapokosa pesa hizo nguvu pia hutoweka yani lose of libido.
Binafsi nime experience sana hili jambo na huenda lina ukweli kwa kiasi fulani japo inaweza isiwe asilimia 100, wakuu kwa upande wenu mnaonaje.
Je kuna chembe yeyote ya ukweli katika hili?
Hebu tujuzane.