Rafiki wa Kike

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,429
1,145
MIMI(Mwanaume)

1.Najua Kusoma na Kuandika,sijaoa,sina mtoto(Mategemeo ya kuoa yapo,lakini sijajua bado ni lini)

2.Sipendi mawigi,mtu feki feki,uongo,kuhonga(Sina mipesa mingi anyway).

4.Napenda kuzurura,nywele halisi(Mu-afrika---mtu natural),misosi(kupika),bia(weekend moja moja),Kilimo na ufugaji,muziki(Alternative Rock).


YEYE(Mwanamke/Msichana)


1.Ajue kusoma na kuandika…..na kiingereza hata kidoooncho.
2.Nitapendelea awe anajua kuendesha baiskeli.
3.Awe anajitegemea,ufahamu wa mapishi,awe na idea ya kilimo/ufugaji kidogo.
5.Awe anajiamini
6.Heshima----mvumilivu


--Type zangu ni ngumu kidogo kupata.......incase kuna kamtu somewhere!!!with those very basic qualities ajitokeze...if not...asikuje PM.
 
Utanifundisha kuendesha baiskeli ama hutoi hiyo course?

Alafu kwanini ajue kuendesha baiskeli?
 
ahaha nimecheka kuendesha baiskel sio mapenzi? au unataka wakukupakia kwenda job
 
Mi nipo tayar kabisa ila umri nimekupita mkuu,baiskeli yako mountain ama VIP?isije kua Phoenix mkuu
 
Humu kweli watoto wengi ,kuendesha baiskeli sio baaiskeri hii mnayoijua hapo mleta mada anamaanisha ajue kukata mauno
 
Back
Top Bottom