Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,410
39,486
Habarini Wadau,

Hilo nililoliandika nimelifanyia utafiti wa kina.

Tofauti na mabinti/wanawake waliosoma courses zingine...waliosoma Law wengi hawajaolewa ila wanamegwa tu kisela na wengi wao wana mtoto au watoto ila hawana waume.

Sababu kubwa ni hizi:

◆ Hakuna Mwanaume anayetaka kuletewa vifungu vya sheria kwenye nyumba yake na ujinga ujinga wa haki sawa.

◆ Wanawake wa hivyo wanakuwaga na ukatili na kujiamini kupita kiasi, nafikiri ni kutokana na hukumu wanazosoma

◆ Wakati huo huo waalimu ndio wanaoongoza kwa kuolewa na kuishi vizuri ndoani.


Nawasilisha.
 
Ni kweli maana wengi wanajua sana vifungu vya divorce na mali zake kuliko vifungu vingine vya kisheria(ukizingua ndoan imekula kwako)

Hawaishi kusoma soma kila baada ya muda fulan atataka kwenda kuongeza ujuzi(mwanaume wa kitanzania atajiongeza unaenda kugawa huko masomoni)
 
Sasa mwalimu hana overtime wala semina za kipuuzi puuzi saa tisa kasharud nyumban unategemea tusiweke ndan kwel huyo mtu.
Akifundisha tuition wanafunz wanakuja hapo hapo nyumban unategemea nin.
Mchepuko wake eitha mwalimu mkuu au mwalimu mwenzie ambao wote hao unawamudu ukipiga mikwara wanatulia
 
Back
Top Bottom