Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga...
28 Reactions
301 Replies
19K Views
,...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Moja ya Maswali ya kuepuka kumuuliza mtu ikiwa hujaonana naye kwa muda fulani 1. umeshaoa?umeshaolewa? 2. una watoto wangap sasa? 3. kazi upo wapi? 4. huyu ndo mkeo? 5. huyu ndo mumeo? 6...
5 Reactions
28 Replies
8K Views
Una Boyfriend, Unampenda ile mbaya,anajua unampenda na hufurukuti,anakusumbua kwelikweli, wewe na kisima cha machozi ni Mutual Friends, kwa mwaka unalia mara nyingi kuliko Kikundi cha Waombolezaji...
13 Reactions
60 Replies
7K Views
Kwanza kabisa, "habari zenu wana JF", Kuna ishu inanitatiza sasa nashindwa kuelewa, kuna msichana fulani nasoma nae chuo hapa Dar kuna mambo flani nashindwa kuelewa tangu nianze kuona hisia za...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari, Mimi ni kijana wa miaka 28 niko single, nimejiajiri. Nahitaji mwanamke aliye serious, mwenye kumuogopa mungu. Awe tayari kupima. Maelezo zaidi ni PM.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Napata malalamiko kutoka kwenu kwamba kuna muda Boyfriend zenu hawapokei simu wala kujibu message...Mnachukua strange numbers mnabeep, wanapiga simu...mnahoji kwanini Wanafanya hivyo na kwanini...
37 Reactions
256 Replies
20K Views
Kana kansungu kansungu Mwelu upo?....:) Men Who Do Housework May Get More Sex: Report Thursday March 6, 2008 By David Crary The Associated Press Men still don't pull their weight when...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
PART 1: Baby kabla yangu umekuwa na Ma-Ex wangapi GIRL: mmmmm(huku anaangalia juu,anahesabu 1,2,3),wewe ni wa 3.. Sijawahi kuona Msichana anasema ana ex 28, wao woote wanajua 1,2,3,4...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari za Weekend waungwana, Kuna jambo hua nashindwa kulielewa hasa kwa baadhi ya wadada, unaenda kukutana na mpenzi wako why lazima uende na shoga? Unaenda nae ili iweje? Au why asikilize...
13 Reactions
131 Replies
12K Views
Wana JF wenzangu napenda ushauri wenu Mimi nina 35 yrs na ni baba wa watoto wanne. Bahati mbaya nimetengana na mama yao ndani ya miaka 2 iliyopita. Naishi Dar mwaka huu wa15. Tangu naingia kwa...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Kichwa cha habari cha husika mimi ni mwanamke naishi Njombe, natafuta rafiki ambaye tutashauriana issue mbalimbali kuhusu ili janga ikiwezekana baadae awe mume. Awe na sifa zifuatazo ...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, Its almost a year sasa nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume kwa mara ya kwanza. Hali iliyopo sasa nahisi kufa kwa mawazo, ninashinda nalia peke yangu, sometimes...
1 Reactions
110 Replies
12K Views
Wakuu Watoto wadogo Kabisa akiwa na Siku ya Pili Jogoo anawika Asubuhi na Siyo lazima Asubuhi tuu Mimi Mwanangu Mda mwingine hata wakati anaogeshwa Unakuta Jogoo Kasimama najiuliza huyu Mtoto...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Wadau Habari mm ni kijana Nina mke wangu mmoja yapata mwezi mmoja mke wangu alinipa ombi niongeze mke wa pili ila kwa mashart ya kumuoa rafiki yake kipenzi ambae wamesoma wote chuoni kwa miaka...
7 Reactions
118 Replies
10K Views
Kuna mambo yanapoendelea kuwepo kati ya wanandoa huwa kunapatikana furaha na amani katika maisha ya kila siku, ila kwa bahati mbaya kabisa amani na furaha hiyo huonekana kama haipo kutokana na...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa umri takribani miaka 30 sasa. Elimu yangu ni shahada ya kwanza(Engineering) toka Udsm na kwasasa ni muajiriwa kwa private company moja huko kanda ya ziwa. Natafuta mke mwema...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari za mda huu wanajamvi, Leo nimeona nije na hii. Kuna mtindo unaendelea sasa hvi hapa town, eti ili mwanamke apendwe na kupangashiwa nyumba kali, kutolewa out na hata kununuliwa gari na...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Jana usiku nilikuwa naangalia taarifa ya habari on Citizen TV, kuna mama mmoja mwenye hasira kweli kweli alielezea kuwa yeye pia ni mke halali wa Mwanasiasa Otieno Kajwang (mwanasiasa wa hapo...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Kuna MTU mmoja ameniambia kuwa yeye anapo sex uwaga anamwaga lakini dudu yake ailali anaendelea na mechi hadi anamwaga tena je ni tatizo au
2 Reactions
73 Replies
5K Views
Back
Top Bottom