Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,776
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
 
Kuachana siyo kutangaza uadui. Hata mie ninaye tuliyependana akasababisha tukaachana lkn nikimsalimia anakuwa mbogo
 
Jamani haya mambo ya salamu kwenye whatup wakati umeshaanza kuwa free na mtu wako mpya simu unaiacha popote
Ukiona bado una hasira nae ujue bado una mpenda,na mliachana kwa kutegeana nani amuombe msamaha mwenzie.Mie yakinizidi kwa wife nampigia simu ex wangu namsimulia weee hadi ananionea huruma.Ila nikiwa na kosa mimi ananishauri niombe msamaha isije kutokea kama tulivyoachana.
 
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
Kuna mtu anagonga hodi tena ? mwambie kuna mpangaji tayari hakuna nafasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom