Habari za leo ndugu zangu,
Nimekua na mahusiano na mpenzi wangu mpya niliempata hivi karibuni lakini cha kushangaza hana siri yupo kiswahili sana kila kitu yeye ni kutangaza juzi kanunua kiwanja ametangaza mpaka kwa ndugu zangu. Mambo ya siri ya marafiki zake ananiambia mpaka namuogopa.
Ndugu zangu hii hali ni ya kawaida kweli?