Ni aibu alichonifanyia mke wangu

tajiri wa mwanza

Senior Member
Mar 1, 2017
138
226
Jamani ndugu zangu, niko kwenye hali mbaya sana naandika hii mada nalia kwa kitendo alichonifanyia mke wangu, mke wangu mimi ni mwanajeshi tena ana cheo kikubwa tu. Leo mida ya saa1 nilikuwa nachek gemu ya Man United, mke wangu akaja na mwanaume wa nchi 6 mapande saba pale home bila salamu wala kuvua viatu akaingia na kukaa kwa kochi nilishangaa coz si kawaida yake kuja na mwanaume kwangu cha kushangaza walikuwa wako bwii.

Mke wangu akaanza kulia machozi na kuanza kuniambia alichukua simu yangu na kusoma text insta watsap Facebook JF na kuona upuuzi wangu wote sasa anataka kunishikisha adabu. Mara nikasikia lile baba la mapande sita limenirukia na kunifunga kamba miguu na mikono pamoja na mdomo nilijitahidi kupambana wapi nikaambulia mitama na ngumi nikawa mpole huku nikishaangaa mke wangu ujasiri kautoa wapi.

Nikiwa nimefungwa kamba siwezi kufurukuta Mara naona mke wangu na lile baba wanaanza kupigana romance mbele yangu wanavuana nguo mpaka wanafanya mapenzi pale, nimelia sana huku mke wangu akilia kimahaba eti anakunwa zaidi mimi nina kibamia nione tango.

Baaada ya hapa wakamaliza, mke wangu akawa anachezewa makalio huku naona nililia sana, walivomaliza wakaondoka mpaka sasa sijui walipo jamani sina raha beki tatu kaona mlinzi na yeye najua kitaa kitajua.

Nifanyaje? Msadaa.
 
Usijinyonge. Umekamatika na cheo chako chote leo mwanamke anakukomesha? Hayo ni malipo mlivyotupigaga mabomu mwaka juzi.

Btw polee sana huyo mwanamke kavuka mipaka hakustahili kukudhalilisha hivyo.
 
Kina mama/ladies kwel mna roho mbaya kias iko ata kam ndo majesh? Siwez amini hii thread
 
Back
Top Bottom