Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 May 11, 2017 #1 Ukiwa unapendwa, basi heshimu hisia na Umuhimu wa anayekupenda, kumbuka Umuhimu wa mtu huja baada ya kuondoka. Mpende mpenzi wako kwa Hali yoyote aliyonayo, Ile kauli ya kusema wanaume wote wanafanana haina utashi ndani yakeTrue or false
Ukiwa unapendwa, basi heshimu hisia na Umuhimu wa anayekupenda, kumbuka Umuhimu wa mtu huja baada ya kuondoka. Mpende mpenzi wako kwa Hali yoyote aliyonayo, Ile kauli ya kusema wanaume wote wanafanana haina utashi ndani yakeTrue or false
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 May 11, 2017 #4 Sioni uwiano wa thread na hiyo picha
W wiser1 JF-Expert Member Aug 6, 2015 2,525 3,842 May 11, 2017 #5 kujamba hovyo uvumiliwe?.lazima nikuambie ni tabia mbaya. Nan anataka harufu za kijambo chako? mfyuuuu
kujamba hovyo uvumiliwe?.lazima nikuambie ni tabia mbaya. Nan anataka harufu za kijambo chako? mfyuuuu
legend Babushka JF-Expert Member Jun 29, 2015 584 1,269 May 11, 2017 #7 Wrong is Wrong even if everybody's doing it!!
Vhagar JF-Expert Member Jun 8, 2015 20,338 39,567 May 11, 2017 #8 Hiyo picha umenikumbusha thread ya jamaa mmoja humu. Mpenzi wake alikuwa anamlazimisha amjambie akawa hataki hadi wakaachana kwa sababu hiyo.
Hiyo picha umenikumbusha thread ya jamaa mmoja humu. Mpenzi wake alikuwa anamlazimisha amjambie akawa hataki hadi wakaachana kwa sababu hiyo.