Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,306
- 25,929
Kwetu Afrika, Tanzania ikiwemo, jambo la kusingiziwa motto/watoto husemwa sana. Hapa, mwanamke humtaja na kumwambia mwanaume fulani kuwa ana ujauzito wake, jambo ambalo si la kweli. Mwanaume huyo, pasipo kuujua ukweli, hukubali na kulea ujauzito na hata mtoto ambaye si wake. Huko ndiko kusingiziwa.
Kulingana na teknolojia iliyopo kwa wenzetu wa Ulaya na Amerika, kuna uwezekano na uhalisia wa Mzungu kusingiziwa mtoto/watoto?
Kulingana na teknolojia iliyopo kwa wenzetu wa Ulaya na Amerika, kuna uwezekano na uhalisia wa Mzungu kusingiziwa mtoto/watoto?