Salaam wana jamvi, itifaki izingatiwe,
Ramadan ipo karibu hivyo nimekata shauri na kuamua kutafuta wangu wa ndani ili anihudumie katika kipindi chote cha mwezi mtukufu. Lakini pia niache au...
Kwanza niombe kusema hakuna mtu mbaya ila kuna baadhi ya wanaume hupenda wanawake walio na muonekano wa sura hata kama tabia yake huyo mwanamke ni mbaya.
Kwanza tujadili mwanamke mzuri ni yupi...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiona hawa wadada walio zalishwa mapema na kuachwa hasa wale waliokuwa bado wako shuleni au punde tu baada ya kumaliza shule na kupewa ujauzito kisha jamaa zao...
Tulipendanda kwa muda mfupi sana na kila mmoja akafanikiwa kuteka moyo wa mwenzake na tukapeana kila cha kupeana katika mapenzi, chakusikitisha ghafla tu ananitumia sms ya kwamba mimi na yeye basi...
Kwa kipindi nimeona kuna Mada zinazohusu mapungu ya Wababa au Wakaka zinapata mwamko wa kuchangiwa sana na Wadada Pamoja na Wakaka ili kuondoa dhana hasi iliyokuwa imeulizwa na Mleta Mada.
Lakini...
Kuna msichana nilikuwa namfukuzia kumbe baada ya kuanza kuongea naye kwa undani nikagundua anafahamiana na msichana wangu ambaye nina malengo naye.
Sasa najiuliza niendeleee tu kufukuzia au...
Za jioni wana Jamvi;naamini Leo ni weekend na wengine wanapenda kwenda kwenye maeneo ya sinema kama Mwanza rock city mall na dar pale mlimani city...
Sasa kwa waliowahi kupata madem kupitia...
Kuna mwanamke nilimpa mimba alikuwa anafanya shughuli zake na anakaa kwake japo amepangisha. Mimba ilipofikisha miezi 6 akaniomba aje tuishi wote nikakubali, tuliishi wote mpaka alipojifungua.
Na...
Usiku Mmoja Kabla Muuza Duka Hajafunga Duka Lake Aliingia Mbwa Dukani Akiwa Na Kibegi Mdomoni Ndani Ya Kibegi Kulikuwa Na Pesa Kiasi Na Orodha Ya Vitu Vilivyotakiwa Kununuliwa.
Muuza Duka...
Unaweza ukamkuta mtoto wa kike katika mazingira magumu, ukaamua kumsaidia tu kiubinadamu, ila ajabu ni pale anapotaka kukulipa fadhila kwa kukupa papichi.
Nimeona hata wake za watu wakifanya hivi...
Maumivu ya mapenzi huwa nini??
Ni kule kuzoeana au mapenzi yaliyopita
Au nini haswa?mpaka mtu anakuwa chizi akitendwa (kumegewa)anabadilika je ni kule kuwekeza?
Kama uliwahi kuumizwa sema ulikuwa...
Salaam wandugu. Najua kwa wale wazee wenzangu mliocheza mechi nyingi si ajabu ukakutana na vitu vya namna hii, vya either umekula mtoto na mamayake ama mtu na mdogo wake ama mtu na shangazi yake ...
A LETTER FROM A FRIEND TO A GOOD FRIEND... ( Kila kitu kitakua sawa )
Popote pale ulipo kama unasoma hii ni kwa ajili yako.,
Its too late brother. Usiishawishi nafsi yako unyonge.,Ni muda...
Wanabodi salaam.Jaman natafuta msichana mrembo ,mwenye mvuto ili awe mke wangu.Mimi ni mrefu ,maji ya kunde na nafanya kazi serikalini.Kwa sasa nina umri wa miaka 35.Kwa ninayemtaka awe mrefu...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa nimechoka kuwa mpweke msichana awe na umri wa miaka 23 mpaka 26.
Aliye interested tuwasiliane pm, please kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
MKE MWEMA NI HUYU.
Mcha Mungu, Mvumilivu, Mstahimilivu uliyeokoka na kumkiri Mungu kwa kumaanisha na siyo kumkiri kwa mdomo tu wakati moyoni hakuna Mungu, (Hiki ni kigezo muhimu zaidi)...
Bby leo umemletea kijana wangu mke wa maisha yake. I'm so happy for you my love. Mmoja kati ya viongozi wa JF leo ameongeza mtoto wa kike kwenye familia yake. Hongereni sana mmasai wangu na...
Nimekua katika mahusiano kwa muda wa miezi mitano na kijana mmoja sasa wakati tunaanza alinitambulisha mtoto wake mmoja ambae alimpata akiwa chuo na akanieleza kua hakua na mpango wakumuoa huyo...