Ushauri: Msichana ninayemfukuzia nimegundua anafahamiana na msichana niliye na malengo nae

enka mbe

Senior Member
Sep 3, 2016
165
113
Kuna msichana nilikuwa namfukuzia kumbe baada ya kuanza kuongea naye kwa undani nikagundua anafahamiana na msichana wangu ambaye nina malengo naye.

Sasa najiuliza niendeleee tu kufukuzia au nisitishe, chai imeingiwa nzi.
 
Kwani uyo mwenye malengo naye hakutoshi?acha uaribifu..una pepo LA uaribifu.badilika.
 
Ndio ukome sasa. Hapo ni kuchagua mmoja mana mwisho wa siku utawakosa wote.
 
Back
Top Bottom