Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Salaam wana jamvi, itifaki izingatiwe,
Ramadan ipo karibu hivyo nimekata shauri na kuamua kutafuta wangu wa ndani ili anihudumie katika kipindi chote cha mwezi mtukufu. Lakini pia niache au kuuaga u bachela na kuruka ruka hovyo.
Naomba ushauri wenu
Sasa kwa wale waliotangulia kutimiza swallah la Niqah(ndoa)
Umaridadi mara n'gombe punda mbuzi nk.
Nawasilisha