Kwa nini kila mwanaume anapenda mwanamke mzuri?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,749
8,996
Kwanza niombe kusema hakuna mtu mbaya ila kuna baadhi ya wanaume hupenda wanawake walio na muonekano wa sura hata kama tabia yake huyo mwanamke ni mbaya.
Kwanza tujadili mwanamke mzuri ni yupi??
>Mwenye sura nzuri?
>Mwenye tabia nzuri?
>Mwenye maungo yaliyoumbika?
>Mwanamke mweupe netural?
>Mwenye rangi ya kiafrica
Ila wanaume tulio wengi upenda wanawake wenye sura nzuri hata kama tabia siyo nzuri unakuta mtu anateseka naye kisa sura.
Je kwa nini??
Tupeane elimu.
 
Shangaa na wewe,halafu ndani wanabaki kulalamikia matokeo ya uchaguzi wao kama huyu aliyedaka mpishi hodari
18381858_1306909912755494_5148258185387180032_n.jpg
 
Kizuri pesa, hasara roho...

Roho ndiyo kila kitu... Mwanamke mwenye roho ya upendo, anayejitambua, mwenye hekima na ustaarabu ndiyo kila kitu...

Tunasema uzuri wa mwanamke siyo sura, wala urembo ni tabia...



Cc: mahondaw
 
Watu wote wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu hivo uzuri wao wafanana na uzuri wa Mungu. Koma kabisa kusema huyu mzuri yule mbaya
 
ni kwa sababu wao ni machagulio ya wanaume ndio maana wako wwngi hivyo unachagua kinachofaa,uonacho kizuri wengne kibaya
 
Back
Top Bottom