Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,909
Kwa kipindi nimeona kuna Mada zinazohusu mapungu ya Wababa au Wakaka zinapata mwamko wa kuchangiwa sana na Wadada Pamoja na Wakaka ili kuondoa dhana hasi iliyokuwa imeulizwa na Mleta Mada.
Lakini Mada inayohusu wa dada huwa inakosa Uchangizi hasa kutoka kwa Wadada wenyewe ili kutoa elimu na uelewa juu ya uhasi wa maada husika.
Kwa hiyo ni kweli kuwa yale yanayokuwa yanasemwa kwenye hizo Mada yanakuwa na Ukweli 100% ndio Maana wanakuwa kimya kujitokeza kujitetea?