Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Unaweza ukamkuta mtoto wa kike katika mazingira magumu, ukaamua kumsaidia tu kiubinadamu, ila ajabu ni pale anapotaka kukulipa fadhila kwa kukupa papichi.
Nimeona hata wake za watu wakifanya hivi kwa kuwalipa watu ihsani, jamani wema huwa haulipwi na mnavyodhani kutulipa kwa kutupa papuchi mnakosea, japo tunazikubali tu maana zawadi ni zawadi haikataliwi ila sio tarajio letu.