Ukitaka kujua mkeo ni mchepukaji, angalia hizi tabia

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Take a look at @swahilitimes's Tweet:
Screenshot_2017-05-14-14-20-31.jpg
 
mlikua mnachepuka enyi wanaume toka enz za mababu.sasa wanawake wamepunguza kids kwa BP kufanya ngoma drooo mnaliaaaaaaaaa vibaya muno na wao wa mioyo sio mawe kifuani
 
Kama ni hivyo mbona watakuwa ni wote,
Hizi tafit zingine zitazidi kuwakorofisha wanandoa bure!
 
Daah,!! Mambo mengine tuangalieni mi nina demu wangu anataiba hizo lkn mwaminifu kwangu so siwezi kuungana na hilo jombaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom