Naomba ushauri: Nimemfuma na nguo za mwanamke mwingine

Yawezekana ilikuwepo kabla hajawa nawewe, ongea nae vizur
 
Haoni kosa lake ndiyo sababu kagoma kuomba msamaha. The ball is in your court kusuka ama kunyoa.

Atak kuomba msamaha....me nataka aniombe msamaha..akifanya hvy ntasahau kilichotokea
 
Back
Top Bottom