Bby leo umemletea kijana wangu mke wa maisha yake. I'm so happy for you my love. Mmoja kati ya viongozi wa JF leo ameongeza mtoto wa kike kwenye familia yake. Hongereni sana mmasai wangu na shemeji yangu wa kichaga.
nikiwataja watanijua mi nani hata ambao walikua hawanijui. Ila one of the directors wa JF kapata kijike leo. Nafurahi sana sababu mwanae atakua mke wa mtoto wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.