kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiona hawa wadada walio zalishwa mapema na kuachwa hasa wale waliokuwa bado wako shuleni au punde tu baada ya kumaliza shule na kupewa ujauzito kisha jamaa zao kuingia mitini.
Wadada hawa kwa asilimia kubwa wanajielewa sana na wanajua kupenda na wanapenda kwa dhati na kwa kujitoa mno wakipata mpenzi mwingine. Mimi nimewahi kuwa nao kadhaa yaani hadi nashawishika kuoa kabisa mdada alie na mtoto kwani nimegundua wanapenda kweli nikilinganisha na ambao hawajawahi kuzalishwa kabla.
Ingawa changamoto pekee ni kulea mtoto asiye wako inahitaji moyo wa kujitoa kweli.