lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,736
Za jioni wana Jamvi;naamini Leo ni weekend na wengine wanapenda kwenda kwenye maeneo ya sinema kama Mwanza rock city mall na dar pale mlimani city...
Sasa kwa waliowahi kupata madem kupitia sehem hizo watupe uzoefu walifanyaje maana Mara nyingi wanakujaga mademu wakali na wenye uwezo wao au wazungu pia. Maana hata malipo ya sinema moja tu sio haba.
Pia utuambie kisaikolojia wakoje maana unakuta mdada yupo hapo hadi sinema ya kuisha SAA sita au huwa wako desperate kwa hiyo wanavuta mda wa kulala na baridi