Hili swali nataka kujua jibu...ni maumivu ya mapenzi??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Maumivu ya mapenzi huwa nini??
Ni kule kuzoeana au mapenzi yaliyopita
Au nini haswa?mpaka mtu anakuwa chizi akitendwa (kumegewa)anabadilika je ni kule kuwekeza?
Kama uliwahi kuumizwa sema ulikuwa unaumia vipi?
 
Maumiv kwangu Mimi hubase sana kwenye mazoea kukosa vile vitu ulivyokuwa ukivipata hapo awal moyo huuma kwel ukizingatia kama furaha ilikuwa ikatawala maongezi unafeel ile love unajuaeeh unafeel alive najihis umekamilika in all ways company kujaliwa kusikilizwa kupendwa and all that so ukija kuhisi anapewa mwingine (kusalitiwa) n kama ndo mmeachana and hukuwahi expect hivo unaumia maumivu yake only you and God knows na pia ukijja ukigundua love wasn't there ts was all built with a lie oh my God it's killing kwakwel so pain it's due to how you feeling goes the same to happiness is due to how you feel the love ivoooo
 
Back
Top Bottom