Habari zenu wana jamvi,
Eti kuna jamaa mmoja ameniambia anaogopa kuoa kisa hana hela ya kufanyia sherehe. yani yuko tayari atoe mahari lakini, kuoa kanisani anaogopa hana ela ya kuchangia sherehe yake. Jamani wanaume acheni uoga, hizi sherehe za siku izi ni sheeda duh. wakristu punguzeni mbwembwe ndio maana vijana wengi wa kikristo wanachelewa kuoa kisa uoga wa sherehe.
Asanteni