GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,281
- 6,697
Tumezoea kuacha lakini siku tukiachwa ni balaa, niliwahi kuona jinsi
watu wawili tofauti walipoachwa vile walichanganyikiwa kwa fikra zangu
nikajua ni wehu tu wa mapenzi lakini kadri siku zinavyosonga ndivyo
ninavyozidi kugundua udhaifu wa wanaume pale tunapoachwa.
Asubuhi hii Jirani yangu alikuwa anataka kunywa sumu baada ya kuachwa
na mke wake, ni majirani tu mbao tumemzuia kwa kumshikashika.
"mimi nawewe kila mtu ashike lake kama mwanao
unamtaka nitakuletea nishapata mwingine ambae
hajui kupiga kama wewe." inasomeka sehemu ya meseji kwenye simu ya jamaa
ambayo ilimfanya atake kujiua.