Too good Looking to get a boyfriend

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,467
13,025
4029285000000578-4491914-image-m-11_1494418752229.jpg

4029279800000578-4491914-image-a-2_1494418651149.jpg
4029278F00000578-4491914-image-a-15_1494418879911.jpg

untitled-4.jpg

Cherelle Neille is a single mother, working as a shop assistant and living in Manchester. And she says she’s too beautiful to get a boyfriend.

Cherelle anasema anaona wadada wenye Uzuri wa kawaida ndio wanaopata wanaume na kutulia nao lakini yeye mwenye mvuto zaidi hapati wanaume na akiwapata hawatulii nae.
Amesema angefurahia kupata mwanaume atakaye mpenda ki kweli na sio kwa Uzuri wake tu.

Amesema pia kuwa mara nyingi akipata mwanaume na kufanikiwa kwenda nae kwenye appointment (date) wanaume huishia kumsifia Uzuri wake na hawamsikilizi anachotaka kusema au kuongelea mambo ya maana. Boyfriend wake wa mwisho aliishia kumuonyesha tu kwa rafiki zake na kutaka kupiga nae picha tu.

Manchester woman says she is too good-looking to find love | Daily Mail Online

Hivi ni kweli wadada wenye mvuto wa pekee ni vigumu kupata wanaume?!
 
Kwanza wengi wazuri wazuri wana maringo sana, pili hao ukiwaoa kwa kiasi kikubwa ni stress maana bado vijana watakuwa wanacompete kumpata hata kama tayari ni mke wa mtu (hapa labda upate alotulia sio wale wengine).

Kwa hiyo hawa wanakuwa wa kuuza nao sura tu alafu unatafuta mdada mwenye sura ya kawaida ndo mke
 
Duh!, Aisee. Heri yangu.:)
 
Mwanamke akiwa mzuri sana ni stress kwa kidume na hasa akiwa anapenda kuzoeana na watu bila mpangilio na mwenye mkia mnene ni hatari sana kwa ustawi wa uhusiano!

Hapo utawaza kupigiwa tu kila saa mwishowe unapigiwa kweli maana mawivu yatazidi ukomo na demu ataanza kukuona fala.
 
View attachment 508029

Cherelle Neille is a single mother, working as a shop assistant and living in Manchester. And she says she’s too beautiful to get a boyfriend.

Cherelle anasema anaona wadada wenye Uzuri wa kawaida ndio wanaopata wanaume na kutulia nao lakini yeye mwenye mvuto zaidi hapati wanaume na akiwapata hawatulii nae.
Amesema angefurahia kupata mwanaume atakaye mpenda ki kweli na sio kwa Uzuri wake tu.

Amesema pia kuwa mara nyingi akipata mwanaume na kufanikiwa kwenda nae kwenye appointment (date) wanaume huishia kumsifia Uzuri wake na hawamsikilizi anachotaka kusema au kuongelea mambo ya maana. Boyfriend wake wa mwisho aliishia kumuonyesha tu kwa rafiki zake na kutaka kupiga nae picha tu.

https://www.google.com/amp/www.indy100.com/article/woman-too-good-looking-boyfriend-relationship-manchester-cherelle-neille-7729531?amp

Hivi ni kweli wadada wenye mvuto wa pekee ni vigumu kupata wanaume?!
Huyu mama mbona wa kawaida lakini, hamsogelei hata kwa mbali jolly_bebee wangu! Nahisi anatafta kiki na usingo maza wake nani aweke tanga hapo? Uyo alioondoka mwanzo alikimbia nn? Naskia harufu ya ex wa Jongwe syndrome
 
Usikute huko kuwa na wasiwasi sana kwenu ndo kunasababisha hata mwanamke nae asijiamini vizuri au awe na over confidence ya kuanza kuangalia nje.
 
Huyu mama mbona wa kawaida lakini, hamsogelei hata kwa mbali jolly_bebee wangu! Nahisi anatafta kiki na usingo maza wake nani aweke tanga hapo? Uyo alioondoka mwanzo alikimbia nn? Naskia harufu ya ex wa Jongwe syndrome

Haha, mzuri lakini jamani, on top anaonekana kujiamini sana. The most important.
Mie nilifikiri baba mtoto kamkimbia kwa sababu ya huo Uzuri wake. Kaogopa kuchapiwa, kama mnavyosema.
 
Mwanamke mzuri ni cha wote kwa sababu huwa hawezi kuizuia nguvu ya kutongozwa na kila mtu!........Atatongozwa na watu wenye sifa mbalimbali na wenye ushawishi mbalimbali!
Lazma achapwe nao tu mwisho wa siku, ndio inavyokuwaga yani! Ukute pia huna hela unatumia nguvu ya mdomo tu. Bebi nyingi, i love u kedekede akikutwa na playboy mhongaji mzuri pembeni ki brevis, ampige outing za kuuza sura town andika maumivu!
 
Inawezekana bwana, ni nyie tu wakaka naona huwa mnaogopa wanawake wenye vyote, sijui kwa sababu zipi.
Mwenye vyote awe disminder wa attention za kitoto labda itakuwa mzuka. Sasa we demu mzuri af beki hazikabi patakalika hapo? Kila anaeomba namba unampa ikiwa unajua atakutongoza tu na upo kwa uhusiano na mtu tayari kama si kujenga mtafaruku ni nini?
 
wapo wanawake wazuri saana tu wanaolewa..
haya mambo hayana fomula...wapo wameolewa wameolewa wametulia..na kuna wengine hawana msimamo wakitongozwa nje wanalega msimamo wao..
kutotulia na mtu mmoja na umalaya ni hulka za mtu binafsi.
ukitongozwa na hata waume kumi kwa siku waeleze tu nishawahiwa hlf unakaza msimamo unaridhika na ulienae..si basi!!!
 
Mapenzi ni hisia swala lolote linalohusu mapenzi linaongozwa na hisia so zinapozidi hisia mbaya juu ya mwenzio penzi lazima kitavunjika zinapozidi hisia nzuri juu ya mwenzio penzi litadumu kigezo kikubwa ambacho kinavunja mahusiano sana hapa Duniani ni swala la uaminifu swala la uaminifu ndio killing machine ya mapenzi
Wanawake wengi na Wanaume wengi wanaamini kuwa ukiwa na boyfriend handsome au msichana mzuri ww utakuwa kwenye wakati mgumu sana kihisia kwa kuamini siku zote kitu kizuri kila mtu anakitaka so akili yako itakuwa kumlinda mpenzi wako wasikuibie badala ya kuendeleza penzi lenu unajikuta ujenzi wa penzi umesimama huku ulinzi wa kiwanja cha penzi ukipoteza rasilimali muda na kuchukua muda mwingi

Watu wengi wanaamini kutokana na bidhaa kuitajika sana sokoni(Uzuri) kwanza bei lazima itapanda(maringo&dharau) pili bidhaa hiyo itakuwa ngumu kupatikana(kuogopa kuwafata kwa kudhani utaishia kuumia moyo) hapo hapo wajanja wanaweza kupata fursa ya kutengeneza bidhaa kama hyo fake(wengi wanakuwa si waaminifu kwa wapenzi wao) hili tu kukidhi soko au wahitaji
 
View attachment 508029

Cherelle Neille is a single mother, working as a shop assistant and living in Manchester. And she says she’s too beautiful to get a boyfriend.

Cherelle anasema anaona wadada wenye Uzuri wa kawaida ndio wanaopata wanaume na kutulia nao lakini yeye mwenye mvuto zaidi hapati wanaume na akiwapata hawatulii nae.
Amesema angefurahia kupata mwanaume atakaye mpenda ki kweli na sio kwa Uzuri wake tu.

Amesema pia kuwa mara nyingi akipata mwanaume na kufanikiwa kwenda nae kwenye appointment (date) wanaume huishia kumsifia Uzuri wake na hawamsikilizi anachotaka kusema au kuongelea mambo ya maana. Boyfriend wake wa mwisho aliishia kumuonyesha tu kwa rafiki zake na kutaka kupiga nae picha tu.

https://www.google.com/amp/www.indy100.com/article/woman-too-good-looking-boyfriend-relationship-manchester-cherelle-neille-7729531?amp

Hivi ni kweli wadada wenye mvuto wa pekee ni vigumu kupata wanaume?!

Watu kwa kujipa ujiko bwana, mbona ni mtu wa kawaida tu. Hapati mabwana wa kumsugua kwa sababu wanaume wamemshitukia kuwa ni demu dizaini ya wanawake wa Bongo muvi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom